.png)
Sauti Za Usawa
Jamii yenye usawa ina mshikamano na watu wake wana afya, amani na maendeleo.Podcast hii ina lengo la kuchochea usawa wa kweli katika jamii katika nyanja mbalimbali.
Ungana na mwandishi na mtangazani Aloycea Ngunyali kila wiki akiibua na kuzungumzia changamoto mbalimbali za kijinsia na jamii.
Atazungumza na wadau, na wanajamii kwa lengo la kuzijadili changamoto hizi na ufumbuzi wake.
Ili kupata maendeleo ya kweli, tunahitaji usawa wa kweli!